Hosea 1:5
Katika siku ile nitavunja upinde wa Israeli katika Bonde la Yezreeli.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it shall come to pass at that day, that I will break the bow of Israel in the valley of Jezreel.
In Context
Cross References
Judges 6:33Basi Wamidiani wote, Waamaleki na mataifa mengine ya mashariki wakaunganisha majeshi yao, wakavuka ngʼambo ya Yordani na kupiga kambi katika Bonde la Yezreeli.
Psalms 37:15Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe, 2 na pinde zao zitavunjwa. 1
Jeremiah 49:34Hili ndilo neno la Bwana lililomjia nabii Yeremia kuhusu Elamu, mapema katika utawala wa Sedekia mfalme wa Yuda:
Hosea 2:18Katika siku ile nitafanya Agano kwa ajili yao 2 na wanyama wa kondeni, na ndege wa angani, 2 na viumbe vile vitambaavyo ardhini. 1 Upinde, upanga na vita, 2 nitaondolea mbali katika nchi, 2 ili kwamba wote waweze kukaa salama. 1