Hosea 1:6
Gomeri akachukua tena mimba akamzaa binti. Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Lo-Ruhama, + 1:6 Lo-Ruhama maana yake Sio mpenzi wangu. kwa maana sitaonyesha tena upendo kwa nyumba ya Israeli, kwamba nisije kabisa nikawasamehe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Katika siku ile nitavunja upinde wa Israeli katika Bonde la Yezreeli.”
Cross References
2 Kings 17:20Kwa hiyo Bwana aliwakataa watu wote wa Israeli; akawatesa na kuwaachia katika mikono ya wateka nyara hadi alipowaondoa kutoka kwenye uwepo wake.
Isaiah 27:11Wakati vijiti vyake vimekauka, huvunjwa 2 nao wanawake huja na kuwasha navyo moto. 1 Kwa kuwa hili ni taifa lisilo na ufahamu, 2 kwa hiyo yeye aliyewafanya hana huruma juu yao, 2 Muumba wao hawaonyeshi fadhili.
Hosea 2:23Nitampanda katika nchi kwa ajili yangu mwenyewe; 2 nami nitaonyesha pendo langu kwake 2 yule ambaye nilimwita, ‘Si mpenzi wangu. + 2:23 Kiebrania ni Lo-Ruhama.’ 1 Nitawaambia wale walioitwa, ‘Sio watu wangu,’ + 2:23 Kiebrania ni Lo-Ami. 2 ‘Ninyi ni watu wangu’; 2 nao watasema, ‘Wewe ndiwe Mungu wangu.’ ”
Amos 7:8Naye Bwana akaniuliza, “Je, Amosi unaona nini?” Nikamjibu, “Uzi wa timazi.” Kisha Bwana akasema, “Tazama, ninaweka uzi wa timazi miongoni mwa watu wangu Israeli; sitawahurumia tena. 1
1 Peter 2:10Mwanzo ninyi mlikuwa si taifa, lakini sasa ninyi ni taifa la Mungu. Mwanzo mlikuwa hamjapata rehema, lakini sasa mmepata rehema.