Hosea 10:14
mngurumo wa vita utainuka dhidi ya watu wako, 2 ili kwamba ngome zako zote zitaharibiwa: 1 kama Shalmani alivyoharibu Beth-Arbeli katika siku ile ya vita, 2 wakati mama pamoja na watoto wao 2 walipotupwa kwa nguvu ardhini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 17:16Wakayaacha maagizo yote ya Bwana Mungu wao na kujitengenezea sanamu mbili, walizozisubu katika sura ya ndama na nguzo ya Ashera. Wakasujudia mianga yote ya angani, na wakamtumikia Baali.
2 Kings 18:33Je, yuko mungu wa taifa lolote aliyewahi kuokoa nchi yake kutoka mkononi mwa mfalme wa Ashuru?
Isaiah 13:16Watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande 2 mbele ya macho yao; 1 nyumba zao zitatekwa 2 na wake zao watatendwa jeuri. 1
Isaiah 22:1Neno kuhusu Bonde la Maono: 1 Nini kinachokutaabisha sasa, 2 kwamba ninyi nyote mmepanda juu ya mapaa? 1
Jeremiah 13:14Nitawagonganisha kila mmoja na mwenzake, baba na wana wao, asema Bwana. Sitawarehemu wala kuwahurumia ili niache kuwaangamiza.’ ” 1 Tishio La Kutekwa 1
Hosea 13:16Watu wa Samaria ni lazima wabebe hatia yao, 2 kwa sababu wameasi dhidi ya Mungu wao. 1 Wataanguka kwa upanga; 2 watoto wao wadogo watatupwa kwa nguvu ardhini, 2 wanawake wao walio na mimba watatumbuliwa.”