The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 13 › Isaiah 13:16

Isaiah 13:16

Watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande 2 mbele ya macho yao; 1 nyumba zao zitatekwa 2 na wake zao watatendwa jeuri. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Their children also shall be dashed to pieces before their eyes; their houses shall be spoiled, and their wives ravished.

In Context

15Yeyote atakayetekwa atapasuliwa tumbo, 2 wote watakaokamatwa watauawa kwa upanga. 1

17Tazama, nitawachochea Wamedi dhidi yao, 2 ambao hawajali fedha 2 wala hawafurahii dhahabu. 1

Read all of Isaiah 13

Cross References

Psalms 137:9yeye ambaye atawakamata watoto wako wachanga 2 na kuwaponda juu ya miamba.

Lamentations 5:11Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, 2 na mabikira katika miji ya Yuda. 1

Nahum 3:10Hata hivyo alichukuliwa mateka 2 na kwenda uhamishoni. 1 Watoto wake wachanga walivunjwa vunjwa vipande 2 kwenye mwanzo wa kila barabara. 1 Kura zilipigwa kwa watu wake wenye heshima, 2 na watu wake wote wakuu walifungwa kwa minyororo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 13:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 13:15Isaiah 13Isaiah 13:17 →