The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 22 › Isaiah 22:1

Isaiah 22:1

Neno kuhusu Bonde la Maono: 1 Nini kinachokutaabisha sasa, 2 kwamba ninyi nyote mmepanda juu ya mapaa? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The burden of the valley of vision. What aileth thee now, that thou art wholly gone up to the housetops?

In Context

2Ewe mji uliojaa ghasia, 2 ewe mji wa makelele na sherehe! 1 Watu wenu waliokufa hawakuuawa kwa upanga, 2 wala hawakufa vitani. 1

Read all of Isaiah 22

Cross References

Deuteronomy 22:8Wakati unapojenga nyumba mpya, fanya ukuta wa kuzuia kandokando ya dari ili usijiletee hatia ya kumwaga damu juu ya nyumba yako ikiwa yeyote ataanguka kutoka humo.

1 Samuel 3:1Kijana Samweli alihudumu mbele za Bwana chini ya Eli. Katika siku zile neno la Mungu lilikuwa adimu, hapakuwepo na maono mengi.

2 Samuel 14:5Mfalme akamuuliza, “Una shida gani?” Akamwambia, “Mimi ni mjane hasa, mume wangu amekufa.

Psalms 114:5Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, 2 nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma, 1

Psalms 147:19Amemfunulia Yakobo neno lake, 2 sheria zake na maagizo yake kwa Israeli. 1

Isaiah 13:1Neno kuhusu Babeli ambalo Isaya mwana wa Amozi aliliona: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 22:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Isaiah 22Isaiah 22:2 →