Hosea 11:11
Watakuja wakitetemeka 2 kama ndege wakitoka Misri, 2 kama hua wakitoka Ashuru. 1 Nitawakalisha katika nyumba zao,” 2 asema Bwana. 1 Dhambi Ya Israeli 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 60:8“Ni nani hawa warukao kama mawingu, 2 kama hua kuelekea kwenye viota vyao? 1
Ezekiel 28:25“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitakapoikusanya nyumba ya Israeli kutoka mataifa ambako wametawanyika, nitajionyesha kuwa mtakatifu miongoni mwao machoni pa mataifa. Ndipo watakapoishi katika nchi yao wenyewe, niliyompa mtumishi wangu Yakobo.
Ezekiel 36:33“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Siku ile nitakapowasafisha kutoka dhambi zenu zote, nitarudisha watu waishi katika miji yenu na magofu yatajengwa upya.
Ezekiel 37:25Wataishi katika nchi niliyompa mtumishi wangu Yakobo, nchi ambamo baba zenu waliishi. Wao na watoto wao na watoto wa watoto wao wataishi humo milele, naye Daudi mtumishi wangu atakuwa mkuu wao milele.
Hosea 7:11“Efraimu ni kama hua, 2 hudanganywa kwa urahisi na hana akili: 1 mara anaita Misri, 2 mara anageukia Ashuru. 1
Amos 9:14Nitawarejesha tena watu wangu Israeli waliohamishwa; 2 wataijenga tena miji iliyoachwa magofu, 2 nao wataishi ndani mwake. 1 Watapanda mizabibu na kunywa divai yake; 2 watalima bustani na kula matunda yake. 1