Hosea 11:12
Efraimu amenizunguka kwa uongo, 2 nyumba ya Israeli kwa udanganyifu. 1 Naye Yuda ni mkaidi dhidi ya Mungu, 2 hata kinyume cha yule mwaminifu Aliye Mtakatifu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 18:4Akapaondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu, akazivunja sanamu, akakatakata nguzo za Ashera. Akavunja vipande vipande ile nyoka ya shaba Mose aliyotengeneza, kwa kuwa hadi siku hizo wana wa Israeli walikuwa wanaifukizia uvumba (ilikuwa ikiitwa Nehushtani + 18:4 Nehushtani maana yake Kipande cha shaba.).
Psalms 78:36Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao, 2 wakisema uongo kwa ndimi zao, 1
Isaiah 44:20Hujilisha kwa majivu, moyo uliodanganyika humpotosha; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe, au kusema, 2 “Je, kitu hiki kilichoko katika mkono wangu wa kuume si ni uongo?” 1
Hosea 4:2Kuna kulaani tu, uongo na uuaji, 2 wizi na uzinzi, 1 bila kuwa na mipaka, 2 nao umwagaji damu mmoja 2 baada ya mwingine. 1
Hosea 7:16Hawamgeukii Yeye Aliye Juu Sana, 2 wako kama upinde wenye kasoro. 1 Viongozi wao wataanguka kwa upanga 2 kwa sababu ya maneno yao ya jeuri. 1 Kwa ajili ya hili watadhihakiwa 2 katika nchi ya Misri.
Hosea 12:7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; 2 hupenda kupunja. 1