Hosea 11:4
Niliwaongoza kwa kamba za huruma ya kibinadamu, 2 kwa vifungo vya upendo; 1 niliondoa nira shingoni mwao 2 nami nikainama kuwalisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5“Je, hawatarudi Misri, 2 nayo Ashuru haitawatawala 2 kwa sababu wamekataa kutubu? 1
Cross References
Exodus 16:32Mose akasema, “Hivi ndivyo alivyoagiza Bwana: ‘Chukueni pishi ya mana na kuhifadhi kwa ajili ya vizazi vijavyo ili vione mikate niliyowapa mle jangwani nilipowatoa katika nchi ya Misri.’ ”
Deuteronomy 32:12Bwana peke yake alimwongoza; 2 hakuwepo mungu mgeni pamoja naye. 1
2 Samuel 7:14Nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu. Atakapokosea nitamwadhibu kwa fimbo ya wanadamu, kwa adhabu ya kupigwa na wanadamu.
Psalms 105:40Waliomba, naye akawaletea kware, 2 akawashibisha kwa mkate wa mbinguni. 1
Isaiah 63:9Katika taabu zao zote naye alitaabika, 2 na malaika wa uso wake akawaokoa. 1 Katika upendo wake na rehema zake aliwakomboa, 2 akawainua na kuwachukua siku zote zilizopita. 1
Jeremiah 31:3Bwana alitutokea wakati uliopita, akisema: 1 “Nimekupenda kwa upendo wa milele, 2 nimekuvuta kwa wema. 1