Kumbukumbu 32:12
Bwana peke yake alimwongoza; 2 hakuwepo mungu mgeni pamoja naye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So the LORD alone did lead him, and there was no strange god with him.
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1
Nehemiah 9:12Mchana uliwaongoza kwa nguzo ya wingu, na usiku kwa nguzo ya moto kuwamulikia njia iliyowapasa kuiendea.
Psalms 27:11Nifundishe njia yako, Ee Bwana, 2 niongoze katika njia iliyonyooka 2 kwa sababu ya watesi wangu. 1
Psalms 78:52Lakini aliwatoa watu wake kama kundi, 2 akawaongoza kama kondoo kupitia jangwani. 1
Psalms 136:16Kwake yeye aliyewaongoza watu wake katika jangwa, Fadhili zake zadumu milele. 1
Isaiah 43:12Nimedhihirisha, kuokoa na kutangaza: 2 Mimi, wala si mungu mgeni katikati yenu. 1 Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Bwana, 2 “kwamba Mimi ndimi Mungu. 2