The Bible Software
bible.software › Hosea › Hosea 4 › Hosea 4:15

Hosea 4:15

“Ingawa umefanya uzinzi, ee Israeli, 2 Yuda naye asije akawa na hatia. 1 “Usiende Gilgali, 2 usipande kwenda Beth-Aveni + 4:15 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1 Wala usiape, 2 ‘Hakika kama Bwana aishivyo!’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Though thou, Israel, play the harlot, yet let not Judah offend; and come not ye unto Gilgal, neither go ye up to Beth-aven, nor swear, The LORD liveth.

In Context

14“Sitawaadhibu binti zenu wakati 2 wanapogeukia ukahaba, 1 wala wake za wana wenu 2 wanapofanya uzinzi, 1 kwa sababu wanaume wenyewe huandamana na malaya 2 na kutambikia pamoja na makahaba 2 wa mahali pa kuabudia miungu: 1 watu wasiokuwa na ufahamu 2 wataangamia! 1

16Waisraeli ni wakaidi, 2 kama mtamba wa ngʼombe ambaye ni mkaidi. 1 Ni jinsi gani basi Bwana anaweza kuwachunga 2 kama wana-kondoo 2 katika shamba la majani? 1

Read all of Hosea 4

Cross References

Joshua 5:9Bwana akamwambia Yoshua, “Leo nimeiondoa aibu ya Wamisri kutoka kwenu.” Basi mahali pale pakaitwa Gilgali hadi leo.

1 Kings 12:28Baada ya kutafuta shauri, mfalme akatengeneza ndama wawili wa dhahabu. Akawaambia watu, “Ni gharama kubwa kwenu kukwea kwenda Yerusalemu. Hii hapa miungu yenu, ee Israeli, iliyowapandisha kutoka Misri.”

2 Kings 17:18Basi Bwana akawakasirikia sana Israeli na kuwaondoa kwenye uwepo wake. Ni kabila la Yuda tu lililobaki;

2 Chronicles 21:11Alikuwa pia ametengeneza mahali pa juu pa kuabudia miungu katika vilima vya Yuda na akawa amewasababisha watu wa Yerusalemu kufanya uzinzi na akawa amewapotosha watu wa Yuda.

Jeremiah 3:6Wakati wa utawala wa Mfalme Yosia, Bwana aliniambia, “Umeona kile Israeli asiye mwaminifu amekifanya? Amepanda juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti uliotanda na amefanya uzinzi huko.

Ezekiel 20:39“ ‘Kwa habari zenu ninyi, ee nyumba ya Israeli, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nendeni mkatumikie sanamu zenu, kila mmoja wenu! Lakini baadaye hakika mtanisikiliza mimi nanyi hamtalinajisi tena Jina langu takatifu, kwa matoleo yenu na sanamu zenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 4:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 4:14Hosea 4Hosea 4:16 →