Hosea 13:4
“Bali mimi ndimi Bwana Mungu wenu, 2 niliyewaleta ninyi toka Misri. 1 Msimkubali Mungu mwingine ila mimi, 2 hakuna Mwokozi isipokuwa mimi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Niliwatunza huko jangwani, 2 katika nchi yenye joto liunguzalo. 1
Cross References
Exodus 20:2“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. 1
Isaiah 43:3Kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako. 1 Ninaitoa Misri kuwa fidia yako, 2 Kushi na Seba badala yako. 1
Isaiah 43:11Mimi, naam mimi, ndimi Bwana, 2 zaidi yangu hakuna mwokozi. 1
Isaiah 45:21Tangazeni litakalokuwepo, lisemeni hilo, 2 wao na wafanye shauri pamoja. 1 Ni nani aliyetangulia kusema hili tangu zamani, 2 aliyetangaza tangu zamani za kale? 1 Je, haikuwa Mimi, Bwana? 2 Wala hapana Mungu mwingine 2 zaidi yangu mimi, 1 Mungu mwenye haki na Mwokozi; 2 hapana mwingine ila mimi. 1
Hosea 12:10Niliongea na manabii, nikawapa maono mengi 2 na kusema mifano kupitia wao.” 1
Acts 4:12Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hakuna jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.” 1 Ujasiri Wa Petro Na Yohana Washangaza Watu