The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 13 › Hosea 13:3

Hosea 13:3

Kwa hiyo watakuwa kama ukungu wa asubuhi, 2 kama umande wa alfajiri utowekao, 1 kama makapi yapeperushwayo 2 kutoka sakafu ya kupuria nafaka, 2 kama moshi utorokao kupitia dirishani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore they shall be as the morning cloud, and as the early dew that passeth away, as the chaff that is driven with the whirlwind out of the floor, and as the smoke out of the chimney.

In Context

2Sasa wanatenda dhambi zaidi na zaidi; 2 wanajitengenezea sanamu 2 kutokana na fedha yao, 1 vinyago vilivyotengenezwa kwa uhodari, 2 vyote kazi ya fundi stadi. 1 Inasemekana kuhusu hawa watu, 2 “Hutoa dhabihu za binadamu 2 na kubusu sanamu za ndama.” 1

4“Bali mimi ndimi Bwana Mungu wenu, 2 niliyewaleta ninyi toka Misri. 1 Msimkubali Mungu mwingine ila mimi, 2 hakuna Mwokozi isipokuwa mimi. 1

Read all of Hosea 13

Cross References

Psalms 1:4Sivyo walivyo waovu! 2 Wao ni kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo. 1

Psalms 83:12ambao walisema, “Na tumiliki nchi 2 ya malisho ya Mungu.” 1

Isaiah 41:15“Tazama, nitakufanya chombo cha kupuria, 2 kipya na chenye makali, chenye meno mengi. 1 Utaipura milima na kuiponda 2 na kuvifanya vilima kuwa kama makapi. 1

Hosea 6:4“Nifanye nini nawe, Efraimu? 2 Nifanye nini nawe, Yuda? 1 Upendo wako ni kama ukungu wa asubuhi, 2 kama umande wa alfajiri utowekao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 13:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 13:2Hosea 13Hosea 13:4 →