The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 13 › Hosea 13:8

Hosea 13:8

Kama dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, 2 nitawashambulia na kurarua vifua vyenu. 1 Kama simba nitawala; 2 mnyama pori atawararua vipande vipande. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will meet them as a bear that is bereaved of her whelps, and will rend the caul of their heart, and there will I devour them like a lion: the wild beast shall tear them.

In Context

7Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba, 2 kama chui nitawavizia kando ya njia. 1

9“Ee Israeli, umeangamizwa, 2 kwa sababu wewe u kinyume nami, 2 kinyume na msaidizi wako. 1

Read all of Hosea 13

Cross References

2 Samuel 17:8Unamfahamu baba yako na watu wake, ni wapiganaji hodari, nao ni wakali kama dubu mwitu aliyepokonywa watoto wake. Zaidi ya hayo, baba yako ni mpiganaji jasiri, usiku hatalala pamoja na vikosi.

Psalms 80:13Nguruwe mwitu wanauharibu 2 na wanyama wa kondeni hujilisha humo. 1

Isaiah 5:29Ngurumo yao ni kama ile ya simba, 2 wananguruma kama wana simba, 1 wanakoroma wanapokamata mawindo yao, 2 na kuondoka nayo pasipo yeyote wa kuokoa. 1

Jeremiah 12:9Je, urithi wangu haukuwa 2 kama ndege wa mawindo wa madoadoa 1 ambaye ndege wengine wawindao 2 humzunguka na kumshambulia? 1 Nenda ukawakusanye pamoja wanyama wote wa mwituni; 2 walete ili wale. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 13:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 13:7Hosea 13Hosea 13:9 →