Hosea 13:7
Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba, 2 kama chui nitawavizia kando ya njia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore I will be unto them as a lion: as a leopard by the way will I observe them:
In Context
6Nilipowalisha, walishiba, 2 waliposhiba, wakajivuna, 2 kisha wakanisahau mimi. 1
Cross References
Job 10:16Kama nikiinua kichwa changu juu, unaninyatia kama simba, 2 na kuonyesha tena uwezo wa kutisha dhidi yangu. 1
Jeremiah 5:6Kwa hiyo simba kutoka mwituni atawashambulia, 2 mbwa mwitu kutoka jangwani atawaangamiza, 1 chui atawavizia karibu na miji yao, 2 ili kumrarua vipande vipande yeyote atakayethubutu kutoka nje, 1 kwa maana maasi yao ni makubwa, 2 na kukengeuka kwao kumekuwa ni kwingi. 1
Hosea 5:14Kwa maana nitakuwa kama simba kwa Efraimu, 2 kama simba mkubwa kwa Yuda. 1 Nitawararua vipande vipande na kuondoka; 2 nitawachukua mbali, 2 na hakuna wa kuwaokoa. 1
Amos 3:4Je, simba hunguruma katika kichaka 2 wakati hana mawindo? 1 Aweza kuvuma katika pango 2 wakati ambao hajakamata chochote? 1