Hosea 14:6
matawi yake yatatanda. 1 Fahari yake itakuwa kama mti wa mzeituni, 2 harufu yake nzuri kama mwerezi wa Lebanoni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
His branches shall spread, and his beauty shall be as the olive tree, and his smell as Lebanon.
In Context
Cross References
Genesis 27:27Kwa hiyo akamwendea akambusu. Isaki aliposikia harufu ya nguo zake, akambariki, akasema, 1 “Aha, harufu ya mwanangu 2 ni kama harufu ya shamba 2 ambalo Bwana amelibariki. 1
Psalms 80:9Uliandaa shamba kwa ajili yake, 2 mizizi ikawa imara, ukajaza nchi. 1
Song of Solomon 4:11Midomo yako inadondosha utamu kama sega la asali, 2 bibi arusi wangu; 1 maziwa na asali viko chini ya ulimi wako. 2 Harufu nzuri ya mavazi yako ni kama ile ya Lebanoni. 1
Isaiah 35:2litachanua maua, 2 litashangilia sana na kupaza sauti kwa furaha. 1 Litapewa utukufu wa Lebanoni, 2 fahari ya Karmeli na Sharoni; 1 wataona utukufu wa Bwana, 2 fahari ya Mungu wetu. 1
Jeremiah 11:16Bwana alikuita mti wa mzeituni uliostawi 2 ulio na matunda mazuri kwa sura. 1 Lakini kwa ngurumo ya mawimbi makuu 2 atautia moto, 2 nayo matawi yake yatavunjika.
Ezekiel 31:3Angalia Ashuru, wakati fulani ilikuwa mwerezi huko Lebanoni, 2 ukiwa na matawi mazuri ukitia msitu kivuli; 1 ulikuwa mrefu sana, 2 kilele chake kilipita majani ya miti yote. 1