Isaiah 35:2
litachanua maua, 2 litashangilia sana na kupaza sauti kwa furaha. 1 Litapewa utukufu wa Lebanoni, 2 fahari ya Karmeli na Sharoni; 1 wataona utukufu wa Bwana, 2 fahari ya Mungu wetu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Jangwa na nchi kame vitafurahi; 2 nyika itashangilia na kuchanua maua. 1 Kama waridi,
3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, 2 yafanyeni imara magoti yaliyolegea, 1
Cross References
Exodus 33:18Kisha Mose akasema, “Basi nionyeshe utukufu wako.”
1 Chronicles 16:33Kisha miti ya msituni itaimba, 2 itaimba kwa furaha mbele za Bwana, 2 kwa maana anakuja kuihukumu dunia. 1
Psalms 50:2Kutoka Sayuni, penye uzuri mkamilifu, 2 Mungu anaangaza. 1
Psalms 72:16Nafaka ijae tele katika nchi yote, 2 juu ya vilele vya vilima na istawi. 1 Tunda lake na listawi kama Lebanoni, 2 listawi kama majani ya kondeni. 1
Psalms 89:12Uliumba kaskazini na kusini; 2 Tabori na Hermoni wanaliimbia jina lako kwa furaha. 1
Psalms 96:12mashamba na yashangilie, 2 pamoja na vyote vilivyomo ndani yake. 1 Kisha miti yote ya msituni itaimba kwa furaha; 2