The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 14 › Hosea 14:5

Hosea 14:5

Nitakuwa kama umande kwa Israeli; 2 atachanua kama yungiyungi. 1 Kama mwerezi wa Lebanoni 2 atashusha mizizi yake chini; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will be as the dew unto Israel: he shall grow as the lily, and cast forth his roots as Lebanon.

In Context

4“Nitaponya ukaidi wao 2 na kuwapenda kwa hiari yangu, 2 kwa kuwa hasira yangu imeondoka kwao. 1

6matawi yake yatatanda. 1 Fahari yake itakuwa kama mti wa mzeituni, 2 harufu yake nzuri kama mwerezi wa Lebanoni. 1

Read all of Hosea 14

Cross References

Deuteronomy 32:2Mafundisho yangu na yanyeshe kama mvua, 2 na maneno yangu na yashuke kama umande, 1 kama manyunyu juu ya majani mabichi, 2 kama mvua tele juu ya mimea myororo. 1

2 Kings 19:30Mara nyingine tena mabaki ya nyumba ya Yuda 2 wataeneza mizizi chini na kuzaa matunda juu. 1

Psalms 72:6Atakuwa kama mvua inyeshayo juu ya shamba lililofyekwa, 2 kama manyunyu yanyeshayo ardhi. 1

Psalms 92:13waliopandwa katika nyumba ya Bwana, 2 watastawi katika nyua za Mungu wetu. 1

Song of Solomon 2:1Mimi ni ua la Sharoni, 2 yungiyungi ya bondeni. Mpenzi 1

Song of Solomon 4:5Matiti yako mawili ni kama wana-paa wawili, 2 kama wana-paa mapacha 2 wajilishao katikati ya yungiyungi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 14:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 14:4Hosea 14Hosea 14:6 →