Isaya 30:18
Hata hivyo Bwana anatamani kutupatia neema, 2 anainuka ili kuwaonyesha huruma. 1 Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa haki. 2 Wamebarikiwa wote wanaomngojea yeye!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:4Yeye ni Mwamba, kazi zake ni kamilifu, 2 njia zake zote ni haki. 1 Mungu mwaminifu ambaye hakosei, 2 yeye ni mnyofu na mwenye haki. 1
Job 35:14Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza 2 wewe usemapo humwoni, 1 tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake 2 na wewe lazima umngojee, 1
Psalms 27:14Mngojee Bwana, 2 uwe hodari na mwenye moyo mkuu, 2 nawe, umngojee Bwana.
Psalms 34:8Onjeni mwone kwamba Bwana ni mwema, 2 heri mtu yule anayemkimbilia. 1
Psalms 46:10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; 2 nitatukuzwa katikati ya mataifa, 2 nitatukuzwa katika dunia.” 1
Psalms 62:5Ee nafsi yangu, upumzike, kwa Mungu peke yake, 2 tumaini langu latoka kwake. 1