Hosea 2:16
“Katika siku ile,” asema Bwana, 2 “utaniita mimi ‘Mume wangu’; 2 hutaniita tena mimi ‘Bwana wangu.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Nitaondoa majina ya Mabaali kutoka midomoni mwake, 2 wala hataomba tena kwa majina yao. 1
Cross References
Judges 19:3mume wake akaenda kumsihi ili arudi. Alikwenda na mtumishi wake na punda wawili. Yule mwanamke akamkaribisha nyumbani mwa baba yake, baba yake alipomwona akamkaribisha kwa furaha.
Isaiah 40:2Sema na Yerusalemu kwa upole, 2 umtangazie 1 kwamba kazi yake ngumu imekamilika, 2 kwamba dhambi yake imefanyiwa fidia, 1 kwamba amepokea kutoka mkononi mwa Bwana 2 maradufu kwa ajili ya dhambi zake zote. 1
Jeremiah 3:14“Rudini, enyi watu msio waaminifu, kwa kuwa mimi ni mume wenu,” asema Bwana. “Nitawachagua ninyi, mmoja kutoka kwenye mji, na wawili kutoka kwenye ukoo, nami nitawaleta Sayuni.
Hosea 2:7Gomeri atawafuatia wapenzi wake lakini hatawapata; 2 atawatafuta lakini hatawapata. 1 Kisha atasema, 2 ‘Nitarudi kwa mume wangu kama kwanza, 1 kwa maana nilikuwa na hali njema zaidi 2 kuliko sasa.’ 1
2 Corinthians 11:2Ninawaonea wivu, wivu wa Kimungu, kwa kuwa mimi niliwaposea mume mmoja, ili niwalete kwa Kristo kama mabikira safi.
Revelation 19:7Tufurahi, tushangilie 2 na kumpa utukufu! 1 Kwa maana arusi ya Mwana-Kondoo imewadia 2 na bibi arusi wake amejiweka tayari. 1