Hosea 4:6
watu wangu wanaangamizwa 2 kwa kukosa maarifa, 1 “Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, 2 mimi nami nitakukataa wewe 2 usiwe kuhani kwangu mimi; 1 kwa kuwa umeacha kuijali sheria ya Mungu wako 2 mimi nami sitawajali watoto wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 2:28Nilimchagua baba yako kati ya makabila yote ya Israeli kuwa kuhani wangu, kukwea kwenye madhabahu yangu, kufukiza uvumba na kuvaa kisibau mbele yangu. Pia niliwapa nyumba ya baba yako sadaka zote zilizotolewa kwa moto na Waisraeli.
2 Kings 17:16Wakayaacha maagizo yote ya Bwana Mungu wao na kujitengenezea sanamu mbili, walizozisubu katika sura ya ndama na nguzo ya Ashera. Wakasujudia mianga yote ya angani, na wakamtumikia Baali.
Job 36:12Lakini wasiposikiliza, 2 wataangamia kwa upanga, 2 nao watakufa pasipo maarifa. 1
Psalms 119:61Hata waovu wanifunge kwa kamba, 2 sitasahau sheria yako. 1
Proverbs 1:30kwa kuwa hawakukubali mashauri yangu, 2 na kukataa maonyo yangu, 1
Isaiah 1:3Ngʼombe anamjua bwana wake, 2 naye punda anajua hori la mmiliki wake, 1 lakini Israeli hajui, 2 watu wangu hawaelewi.” 1