The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 4 › Hosea 4:5

Hosea 4:5

Unajikwaa usiku na mchana, 2 nao manabii hujikwaa pamoja nawe. 1 Kwa hiyo nitamwangamiza mama yako: 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore shalt thou fall in the day, and the prophet also shall fall with thee in the night, and I will destroy thy mother.

In Context

4“Lakini mtu awaye yote na asilete shtaka, 2 mtu yeyote na asimlaumu mwenzake, 1 kwa maana watu wako ni kama wale 2 waletao mashtaka dhidi ya kuhani. 1

6watu wangu wanaangamizwa 2 kwa kukosa maarifa, 1 “Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, 2 mimi nami nitakukataa wewe 2 usiwe kuhani kwangu mimi; 1 kwa kuwa umeacha kuijali sheria ya Mungu wako 2 mimi nami sitawajali watoto wako. 1

Read all of Hosea 4

Cross References

Isaiah 9:13Lakini watu hawajamrudia yeye aliyewapiga, 2 wala hawajamtafuta Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Jeremiah 6:4“Jiandaeni kwa vita dhidi yake! 2 Inukeni tumshambulie mchana! 1 Lakini, ole wetu, mchana unaisha, 2 na vivuli vya jioni vinazidi kuwa virefu. 1

Jeremiah 6:15Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao 2 inayochukiza mno? 1 Hapana, hawana aibu hata kidogo; 2 hawajui hata kuona haya. 1 Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka, 2 watashushwa chini nitakapowaadhibu,” 4 asema Bwana.

Jeremiah 14:15Kwa hiyo, hili ndilo Bwana asemalo kuhusu manabii wanaotabiri kwa jina langu: Mimi sikuwatuma, lakini wanasema, ‘Hakuna upanga wala njaa itakayoigusa nchi hii.’ Manabii hao hao watakufa kwa upanga na njaa.

Jeremiah 23:9Kuhusu manabii: 1 Moyo wangu umevunjika ndani yangu; 2 mifupa yangu yote inatetemeka. 1 Nimekuwa kama mtu aliyelewa, 2 kama mtu aliyelemewa na divai, 1 kwa sababu ya Bwana 2 na maneno yake matakatifu. 1

Ezekiel 13:9Mkono wangu utakuwa dhidi ya manabii ambao huona maono ya uongo na kusema ubashiri wa udanganyifu. Hawatakuwa katika baraza la watu wangu au kuandikwa katika kumbukumbu ya nyumba ya Israeli wala hawataingia katika nchi ya Israeli. Ndipo mtajua kuwa Mimi ndimi Bwana Mwenyezi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 4:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 4:4Hosea 4Hosea 4:6 →