Hosea 4:7
Kadiri makuhani walivyoongezeka, 2 ndivyo walivyozidi kutenda dhambi dhidi yangu, 2 walibadilisha utukufu wao kwa kitu cha aibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As they were increased, so they sinned against me: therefore will I change their glory into shame.
In Context
8Hujilisha dhambi za watu wangu 2 na kupendezwa na uovu wao. 1
Cross References
Deuteronomy 32:15Yeshuruni + 32:15 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 33:26; Isa 44:2 ). alinenepa na kupiga teke; 2 alikuwa na chakula tele, 2 akawa mzito na akapendeza sana. 1 Akamwacha Mungu aliyemuumba, 2 na kumkataa Mwamba Mwokozi wake. 1
Ezra 9:7Tokea siku za babu zetu mpaka sasa, hatia yetu imekuwa kubwa. Kwa sababu ya dhambi zetu, sisi na wafalme wetu na makuhani wetu tumekabiliwa na vita, utumwa, kutekwa na kudhiliwa katika mikono ya wafalme wa kigeni, kama ilivyo leo.
Hosea 4:10“Watakula lakini hawatashiba; 2 watajiingiza katika ukahaba 2 lakini hawataongezeka, 1 kwa sababu wamemwacha Bwana 2 na kujiingiza wenyewe 2
Hosea 6:9Kama wanyangʼanyi wamviziavyo mtu, 2 ndivyo magenge ya makuhani wafanyavyo; 1 wanaulia watu kwenye njia iendayo Shekemu, 2 wakifanya uhalifu wa aibu. 1
Hosea 13:6Nilipowalisha, walishiba, 2 waliposhiba, wakajivuna, 2 kisha wakanisahau mimi. 1
Habakkuk 2:16Utajazwa na aibu badala ya utukufu. 2 Sasa ni zamu yako! Kunywa na ujifunue! 1 Kikombe kutoka kwenye mkono wa kuume wa Bwana kinakujia, 2 na aibu itafunika utukufu wako. 1