The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 13 › Yeremia 13:18

Yeremia 13:18

Mwambie mfalme na mamaye, 2 “Shukeni kutoka kwenye viti vyenu vya enzi, 1 kwa kuwa taji zenu za utukufu 2 zitaanguka kutoka vichwani mwenu.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Say unto the king and to the queen, Humble yourselves, sit down: for your principalities shall come down, even the crown of your glory.

In Context

17Lakini kama hamtasikiliza, 2 nitalia sirini 2 kwa ajili ya kiburi chenu; 1 macho yangu yatalia kwa uchungu, 2 yakitiririka machozi, 1 kwa sababu kundi la kondoo la Bwana 2 litachukuliwa mateka. 1

19Miji iliyoko Negebu itafungwa, 2 wala hapatakuwa na mtu wa kuifungua. 1 Watu wa Yuda wote watapelekwa uhamishoni, 2 wakichukuliwa kabisa waende mbali. 1

Read all of Yeremia 13

Cross References

Exodus 10:3Kwa hiyo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao na kumwambia, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Waebrania, asemalo: ‘Utaendelea hata lini kukataa kunyenyekea mbele yangu? Waachie watu wangu waende, ili wapate kuniabudu.

2 Kings 24:15Nebukadneza akamchukua mateka Yehoyakini hadi Babeli. Pia akawachukua utumwani kutoka Yerusalemu hadi Babeli mama yake mfalme, wake zake, maafisa wake, na viongozi wote wa nchi.

2 Chronicles 33:19Maombi yake, pamoja na jinsi Mungu alivyoguswa na kusihi kwake, pia dhambi zake zote na kukosa kwake uaminifu pamoja na sehemu alizojenga mahali pa juu pa kuabudia miungu, kule kusimamisha nguzo za Ashera na sanamu kabla ya kujinyenyekeza kwake, yote yameandikwa katika kumbukumbu za waonaji.

Isaiah 3:26Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, 2 ataketi mavumbini akiwa fukara.

Jeremiah 22:24“Hakika kama niishivyo,” asema Bwana, “hata kama wewe, Yekonia + 22:24 Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini. mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, ungekuwa pete yangu ya muhuri katika mkono wangu wa kuume, bado ningekungʼoa hapo.

Lamentations 2:10Wazee wa Binti Sayuni 2 wanaketi chini kimya, 1 wamenyunyiza mavumbi kwenye vichwa vyao 2 na kuvaa nguo za gunia. 1 Wanawali wa Yerusalemu 2 wamesujudu hadi ardhini. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 13:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 13:17Yeremia 13Yeremia 13:19 →