The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 5 › Hosea 5:2

Hosea 5:2

Waasi wamezidisha sana mauaji. 2 Mimi nitawatiisha wote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the revolters are profound to make slaughter, though I have been a rebuker of them all.

In Context

1“Sikieni hili, enyi makuhani! 2 Kuweni wasikivu, enyi Waisraeli! 1 Sikieni, ee nyumba ya mfalme! 2 Hukumu hii ni dhidi yenu: 1 Mmekuwa mtego huko Mispa, 2 wavu uliotandwa juu ya Tabori. 1

3Ninajua yote kuhusu Efraimu, 2 Israeli hukufichika kwangu. 1 Efraimu, sasa umegeukia ukahaba, 2 Israeli amenajisika. 1

Read all of Hosea 5

Cross References

Psalms 64:3Wananoa ndimi zao kama panga 2 na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha. 1

Isaiah 1:5Kwa nini mzidi kupigwa? 2 Kwa nini kudumu katika uasi? 1 Kichwa chako chote kimejeruhiwa, 2 moyo wako wote ni mgonjwa. 1

Jeremiah 5:3Ee Bwana, je, macho yako hayaitafuti kweli? 2 Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu, 2 uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo. 1 Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwe 2 nao walikataa kutubu. 1

Jeremiah 11:18Kwa sababu Bwana alinifunulia hila zao mbaya, nilizifahamu, kwa kuwa wakati ule alinionyesha yale waliyokuwa wanayafanya.

Jeremiah 25:3Kwa miaka ishirini na mitatu, kuanzia mwaka wa kumi na tatu wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda, hadi siku hii ya leo, neno la Bwana limekuwa likinijia, nami nimesema nanyi mara kwa mara, lakini hamkusikiliza.

Hosea 6:5Kwa hiyo ninawakata ninyi vipande vipande 2 kwa kutumia manabii wangu; 1 nimewaua ninyi kwa maneno ya kinywa changu, 2 hukumu zangu zinawaka 2 kama umeme juu yenu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 5:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 5:1Hosea 5Hosea 5:3 →