Hosea 6:11
“Pia kwa ajili yako, Yuda, 2 mavuno yameamriwa. 1 “Wakati wowote ningerejesha neema ya watu wangu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Also, O Judah, he hath set an harvest for thee, when I returned the captivity of my people.
In Context
Cross References
Psalms 126:1Bwana alipowarejeza mateka Sayuni, 2 tulikuwa kama watu walioota ndoto. 1
Jeremiah 51:33Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: 1 “Binti Babeli ni kama sakafu ya kupuria 2 wakati inapokanyagwa; 2 wakati wa kumvuna utakuja upesi.” 1
Micah 4:12Lakini hawayajui 2 mawazo ya Bwana; 1 hawauelewi mpango wake, 2 yeye awakusanyaye kama miganda 2 kwenye sakafu ya kupuria. 1
Revelation 14:15Kisha malaika mwingine akaja kutoka hekaluni naye akamwita kwa sauti kubwa yule aliyekuwa ameketi juu ya lile wingu akasema, “Chukua mundu wako ukavune kwa kuwa wakati wa mavuno umewadia, kwa maana mavuno ya dunia yamekomaa.”