Hosea 6:10
Nimeona jambo la kutisha 2 katika nyumba ya Israeli. 1 Huko Efraimu amejitolea kwa ukahaba 2 na Israeli amenajisika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11“Pia kwa ajili yako, Yuda, 2 mavuno yameamriwa. 1 “Wakati wowote ningerejesha neema ya watu wangu,
Cross References
1 Kings 12:8Lakini Rehoboamu akakataa shauri alilopewa na wazee na akataka ushauri kwa vijana wanaume rika lake waliokuwa wakimtumikia.
2 Kings 17:7Yote haya yalitokea kwa sababu Waisraeli walikuwa wametenda dhambi dhidi ya Bwana Mungu wao, ambaye alikuwa amewapandisha kutoka Misri akiwatoa chini ya utawala wa nguvu wa Farao mfalme wa Misri. Waliabudu miungu mingine
Jeremiah 3:6Wakati wa utawala wa Mfalme Yosia, Bwana aliniambia, “Umeona kile Israeli asiye mwaminifu amekifanya? Amepanda juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti uliotanda na amefanya uzinzi huko.
Jeremiah 18:13Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Ulizia miongoni mwa mataifa: 2 Ni nani alishasikia jambo kama hili? 1 Jambo la kutisha sana limefanywa 2 na Bikira Israeli. 1
Ezekiel 23:5“Ohola akajitia kwenye ukahaba alipokuwa bado ni wangu, akatamani sana wapenzi wake, mashujaa Waashuru,
Hosea 4:12wa watu wangu. 1 Hutaka shauri kutoka kwa sanamu ya mti 2 nao hujibiwa na fimbo ya mti. 1 Roho ya ukahaba imewapotosha, 2 hawana uaminifu kwa Mungu wao. 1