Micah 4:12
Lakini hawayajui 2 mawazo ya Bwana; 1 hawauelewi mpango wake, 2 yeye awakusanyaye kama miganda 2 kwenye sakafu ya kupuria. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 10:7Lakini hili silo analokusudia, 2 hili silo alilo nalo akilini; 1 kusudi lake ni kuangamiza, 2 kuyakomesha mataifa mengi. 1
Isaiah 55:8“Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu, 2 wala njia zenu si njia zangu,” 4 asema Bwana. 1
Jeremiah 51:33Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: 1 “Binti Babeli ni kama sakafu ya kupuria 2 wakati inapokanyagwa; 2 wakati wa kumvuna utakuja upesi.” 1
Zechariah 14:1Siku ya Bwana inakuja ambayo nyara zilizotekwa kwenu zitagawanywa miongoni mwenu.
Romans 11:33Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri 2 wa hekima na maarifa ya Mungu! 1 Tazama jinsi ambavyo hukumu zake hazichunguziki, 2 na ambavyo njia zake zisivyotafutikana! 1