The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 6 › Hosea 6:4

Hosea 6:4

“Nifanye nini nawe, Efraimu? 2 Nifanye nini nawe, Yuda? 1 Upendo wako ni kama ukungu wa asubuhi, 2 kama umande wa alfajiri utowekao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O Ephraim, what shall I do unto thee? O Judah, what shall I do unto thee? for your goodness is as a morning cloud, and as the early dew it goeth away.

In Context

3Tumkubali Bwana, 2 tukaze kumkubali yeye. 1 Kutokea kwake ni hakika kama vile 2 kuchomoza kwa jua; 1 atatujia kama mvua za masika, 2 kama vile mvua za vuli 2 ziinyweshavyo nchi.” 1

5Kwa hiyo ninawakata ninyi vipande vipande 2 kwa kutumia manabii wangu; 1 nimewaua ninyi kwa maneno ya kinywa changu, 2 hukumu zangu zinawaka 2 kama umeme juu yenu. 1

Read all of Hosea 6

Cross References

Judges 3:12Waisraeli wakafanya maovu mbele za Bwana tena, kwa kuwa walifanya maovu hayo Bwana akamtia nguvu Egloni mfalme wa Moabu dhidi ya Israeli.

Psalms 106:12Ndipo walipoamini ahadi zake, 2 nao wakaimba sifa zake. 1

Jeremiah 3:10Pamoja na hayo yote, Yuda dada yake mdanganyifu hakunirudia kwa moyo wake wote, bali kwa kujifanya tu,” asema Bwana.

Jeremiah 5:7“Kwa nini niwasamehe? 2 Watoto wenu wameniacha na kuapa kwa miungu ambayo si miungu. 1 Niliwapatia mahitaji yao yote, 2 lakini bado wamefanya uzinzi na kusongana katika nyumba za makahaba. 1

Jeremiah 5:23Lakini watu hawa wana mioyo ya ukaidi na ya uasi, 2 wamegeukia mbali na kwenda zao. 1

Jeremiah 34:15Hivi karibuni tu mlitubu na kufanya yaliyo sawa machoni pangu: Kila mmoja wenu aliwatangazia uhuru Waebrania wake. Hata mlifanya agano mbele zangu ndani ya nyumba iitwayo kwa Jina langu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 6:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 6:3Hosea 6Hosea 6:5 →