Hosea 6:5
Kwa hiyo ninawakata ninyi vipande vipande 2 kwa kutumia manabii wangu; 1 nimewaua ninyi kwa maneno ya kinywa changu, 2 hukumu zangu zinawaka 2 kama umeme juu yenu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Kwa maana nataka rehema, wala si dhabihu, 2 kumkubali Mungu zaidi 2 kuliko sadaka za kuteketezwa. 1
Cross References
Genesis 18:25Hilo na liwe mbali nawe, kufanya jambo kama hilo, kuwaua wenye haki pamoja na waovu, kuwatendea wenye haki sawasawa na waovu. Iwe mbali nawe! Je, Mwamuzi wa dunia yote hatafanya lililo sawa?”
1 Samuel 15:22Lakini Samweli akajibu: 1 “Je, Bwana anafurahia sadaka za kuteketezwa na dhabihu 2 kama vile kuitii sauti ya Bwana? 1 Kutii ni bora zaidi kuliko dhabihu, 2 nako kusikia ni bora 2 kuliko mafuta ya kondoo dume. 1
1 Kings 17:1Basi Eliya, Mtishbi kutoka Tishbi katika Gileadi, akamwambia Ahabu, “Kama Bwana, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninamtumikia, hapatakuwa na umande wala mvua katika miaka hii, isipokuwa kwa neno langu.”
1 Kings 19:17Yehu atamuua yeyote atakayeutoroka upanga wa Hazaeli, naye Elisha atamuua yeyote atakayeutoroka upanga wa Yehu.
2 Chronicles 21:12Yehoramu akapokea barua kutoka kwa nabii Eliya iliyosema: “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Daudi baba yako, asemalo: ‘Hukuenenda katika njia za Yehoshafati baba yako au za Asa mfalme wa Yuda.
Job 34:10“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu. 2 Kamwe Mungu hatendi uovu, 2 Mwenyezi hafanyi kosa. 1