Hosea 7:6
Mioyo yao ni kama tanuru, 2 wanamwendea kwa hila. 1 Hasira yao inafoka moshi usiku kucha, 2 wakati wa asubuhi inalipuka 2 kama miali ya moto. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Katika sikukuu ya mfalme wetu 2 wakuu wanawaka kwa mvinyo, 2 naye anawaunga mkono wenye mizaha. 1
Cross References
2 Samuel 13:28Absalomu aliagiza watu wake, “Sikilizeni! Wakati Amnoni atakapokuwa amekunywa mvinyo na kulewa sana nami nikiwaambia, ‘Mpigeni Amnoni,’ basi muueni. Msiogope. Je, si mimi niliyewapa amri hii? Kuweni hodari na wenye ushujaa.”
Psalms 21:9Wakati utakapojitokeza 2 utawafanya kama tanuru ya moto. 1 Katika ghadhabu yake Bwana atawameza, 2 moto wake utawateketeza. 1
Hosea 7:4Wote ni wazinzi, 2 wanawaka kama tanuru 1 ambayo moto wake mwokaji hana haja ya kuuchochea 2 kuanzia kukanda unga 2 hadi umekwisha kuumuka. 1
Micah 2:1Ole kwa wale wapangao uovu, 2 kwa wale wafanyao shauri la hila vitandani mwao! 1 Kunapopambazuka wanalitimiza 2 kwa sababu uko katika uwezo wao kutekeleza. 1