The Bible Software
bible.softwarePsalmsPsalms 21 › Psalms 21:9

Psalms 21:9

Wakati utakapojitokeza 2 utawafanya kama tanuru ya moto. 1 Katika ghadhabu yake Bwana atawameza, 2 moto wake utawateketeza. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou shalt make them as a fiery oven in the time of thine anger: the LORD shall swallow them up in his wrath, and the fire shall devour them.

In Context

8Mkono wako utawashika adui zako wote, 2 mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. 1

10Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, 2 uzao wao kutoka wanadamu. 1

Read all of Psalms 21

Cross References

Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1

Job 6:3Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote, 2 kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka. 1

Psalms 2:12Mbusu Mwana, asije akakasirika 2 nawe ukaangamizwa katika njia yako, 1 kwa maana hasira yake inaweza kuwaka ghafula. 2 Heri wote wanaomkimbilia.

Psalms 18:38Niliwaseta hata hawakuweza kuinuka tena; 2 walianguka chini ya miguu yangu. 1

Psalms 56:1Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; 2 mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao. 1

Isaiah 26:11Ee Bwana, mkono wako umeinuliwa juu, 2 lakini hawauoni. 1 Wao na waone wivu wako kwa ajili ya watu wako tena waaibishwe, 2 moto uliowekwa akiba kwa ajili ya adui zako na uwateketeze. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Psalms 21:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Psalms 21:8Psalms 21Psalms 21:10 →