Hosea 8:1
“Wekeni tarumbeta midomoni mwenu! 2 Tai yuko juu ya nyumba ya Bwana 1 kwa sababu watu wamevunja Agano langu, 2 wameasi dhidi ya sheria yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Israeli ananililia, 2 ‘Ee Mungu wetu, tunakukubali!’ 1
Cross References
2 Kings 18:27Lakini yule jemadari wa jeshi akajibu, “Je, bwana wangu amenituma kutoa ujumbe huu kwa bwana wenu na kwenu tu? Je, hakunituma pia kwa watu walioketi ukutani, ambao, kama ninyi, itawabidi kula mavi yao na kunywa mikojo yao wenyewe?”
Isaiah 24:5Dunia imetiwa unajisi na watu wake; 2 wameacha kutii sheria, 1 wamevunja amri 2 na kuvunja agano la milele. 1
Jeremiah 4:5“Tangaza katika Yuda na upige mbiu katika Yerusalemu na kusema: 2 ‘Piga tarumbeta katika nchi yote!’ 1 Piga kelele na kusema: 2 ‘Kusanyikeni pamoja! 2 Tukimbilie katika miji yenye maboma!’ 1
Jeremiah 6:1“Kimbieni kwa usalama wenu, enyi watu wa Benyamini! 2 Kimbieni kutoka Yerusalemu! 1 Pigeni tarumbeta katika Tekoa! 2 Inueni ishara juu ya Beth-Hakeremu! 1 Kwa kuwa maafa yanaonekana yakitoka kaskazini, 2 na uharibifu wa kutisha. 1
Jeremiah 48:40Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Tazama! Tai anashuka chini, 2 akitanda mabawa yake juu ya Moabu. 1
Ezekiel 7:14Wajapopiga tarumbeta na kuweka kila kitu tayari, hakuna hata mmoja atakayekwenda vitani, kwa maana ghadhabu yangu iko juu ya kundi lote.