The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:5

Yeremia 4:5

“Tangaza katika Yuda na upige mbiu katika Yerusalemu na kusema: 2 ‘Piga tarumbeta katika nchi yote!’ 1 Piga kelele na kusema: 2 ‘Kusanyikeni pamoja! 2 Tukimbilie katika miji yenye maboma!’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Declare ye in Judah, and publish in Jerusalem; and say, Blow ye the trumpet in the land: cry, gather together, and say, Assemble yourselves, and let us go into the defenced cities.

In Context

4Jitahirini katika Bwana, 2 tahirini mioyo yenu, 1 enyi wanaume wa Yuda 2 na watu wa Yerusalemu, 1 la sivyo ghadhabu yangu itatoka kwa nguvu 2 na kuwaka kama moto 1 kwa sababu ya uovu mliotenda, 2 ikiwaka pasipo wa kuizima. 1 Maafa Kutoka Kaskazini 1

6Onyesheni ishara ili kwenda Sayuni! 2 Kimbilieni usalama pasipo kuchelewa! 1 Kwa kuwa ninaleta maafa kutoka kaskazini, 2 maangamizi ya kutisha.” 1

Read all of Yeremia 4

Cross References

Numbers 10:3Tarumbeta zote mbili zikipigwa, jumuiya yote itakusanyika mbele yako katika ingilio la Hema la Kukutania.

Isaiah 28:19Kila mara lijapo litawachukua, 2 asubuhi baada ya asubuhi, 1 wakati wa mchana na wakati wa usiku, 2 litawakumba tangu mwanzo hadi mwisho.” 1 Kuuelewa ujumbe huu 2 utaleta hofu tupu. 1

Jeremiah 6:1“Kimbieni kwa usalama wenu, enyi watu wa Benyamini! 2 Kimbieni kutoka Yerusalemu! 1 Pigeni tarumbeta katika Tekoa! 2 Inueni ishara juu ya Beth-Hakeremu! 1 Kwa kuwa maafa yanaonekana yakitoka kaskazini, 2 na uharibifu wa kutisha. 1

Jeremiah 9:12Ni mtu yupi aliye na hekima ya kutosha ayaelewe haya? Ni nani aliyefundishwa na Bwana awezaye kuyaeleza haya? Kwa nini nchi imeharibiwa na kufanywa ukiwa kama jangwa ambapo hakuna awezaye kupita?

Jeremiah 35:11Lakini wakati Nebukadneza mfalme wa Babeli alipoivamia nchi hii, tulisema, ‘Njooni, lazima twende Yerusalemu ili kukimbia majeshi ya Wakaldayo na ya Washamu.’ Kwa hiyo tumeishi Yerusalemu.”

Hosea 8:1“Wekeni tarumbeta midomoni mwenu! 2 Tai yuko juu ya nyumba ya Bwana 1 kwa sababu watu wamevunja Agano langu, 2 wameasi dhidi ya sheria yangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:4Yeremia 4Yeremia 4:6 →