The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 8 › Hosea 8:10

Hosea 8:10

Ingawa wamejiuza wenyewe miongoni mwa mataifa, 2 sasa nitawakusanya pamoja. 1 Wataanza kudhoofika chini ya uonevu 2 wa mfalme mwenye nguvu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Yea, though they have hired among the nations, now will I gather them, and they shall sorrow a little for the burden of the king of princes.

In Context

9Kwa kuwa wamepanda kwenda Ashuru 2 kama punda-mwitu anayetangatanga peke yake. 1 Efraimu amejiuza mwenyewe 2 kwa wapenzi. 1

11“Ingawa Efraimu alijenga madhabahu nyingi 2 kwa ajili ya sadaka za dhambi, 1 hizi zimekuwa madhabahu 2 za kufanyia dhambi. 1

Read all of Hosea 8

Cross References

2 Kings 15:19Kisha Pulu mfalme wa Ashuru akaishambulia Israeli. Menahemu mfalme wa Israeli akampa talanta elfu moja za fedha + 15:19 Talanta 1,000 za fedha ni sawa na tani 34. ili amsaidie na kumwezesha katika utawala wake.

2 Kings 17:4Lakini mfalme wa Ashuru akagundua kuwa Hoshea alikuwa msaliti, kwa kuwa alikuwa ametuma wajumbe kwa So mfalme wa Misri, naye hakuendelea kulipa ushuru kwa mfalme wa Ashuru tena kama alivyokuwa anafanya kila mwaka. Kwa hiyo Shalmanesa akamkamata na kumtia gerezani.

Isaiah 10:8Maana asema, ‘Je, wafalme wote 2 si majemadari wangu? 1

Isaiah 36:13Kisha yule jemadari wa jeshi akasimama na kuita kwa lugha ya Kiebrania, akasema: “Sikieni maneno ya mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru!

Ezekiel 16:33Kila kahaba hupokea malipo, lakini wewe hutoa zawadi kwa wapenzi wako wote, ukiwahonga ili waje kwako kutoka kila mahali kwa ajili ya ukahaba wako.

Ezekiel 22:20Kama vile watu wakusanyavyo fedha, shaba, chuma, risasi na bati kalibuni ili kuyeyusha kwa moto mkali, ndivyo nitakavyowakusanya katika hasira yangu na ghadhabu yangu kuwaweka ndani ya mji na kuwayeyusha.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 8:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 8:9Hosea 8Hosea 8:11 →