The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 8 › Hosea 8:11

Hosea 8:11

“Ingawa Efraimu alijenga madhabahu nyingi 2 kwa ajili ya sadaka za dhambi, 1 hizi zimekuwa madhabahu 2 za kufanyia dhambi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Because Ephraim hath made many altars to sin, altars shall be unto him to sin.

In Context

10Ingawa wamejiuza wenyewe miongoni mwa mataifa, 2 sasa nitawakusanya pamoja. 1 Wataanza kudhoofika chini ya uonevu 2 wa mfalme mwenye nguvu. 1

12Nimeandika kwa ajili yao mambo mengi 2 kuhusu sheria yangu, 1 lakini wameziangalia 2 kama kitu cha kigeni. 1

Read all of Hosea 8

Cross References

Isaiah 10:10Kama vile mkono wangu ulivyotwaa falme za sanamu, 2 falme ambazo vinyago vyao vilizidi vile vya Yerusalemu na Samaria: 1

Jeremiah 17:1“Dhambi ya Yuda imechorwa kwa kalamu ya chuma, 2 imeandikwa kwa ncha ya almasi, 1 kwenye vibao vya mioyo yao 2 na kwenye pembe za madhabahu zao. 1

Hosea 10:1Israeli alikuwa mzabibu uliostawi sana, 2 alijizalia matunda mwenyewe. 1 Kadiri matunda yake yalivyoongezeka, 2 alijenga madhabahu zaidi; 1 kadiri nchi yake ilivyostawi, 2 alipamba mawe yake ya ibada. 1

Hosea 12:11Je, Gileadi si mwovu? 2 Watu wake hawafai kitu! 1 Je, hawatoi dhabihu za mafahali huko Gilgali? 2 Madhabahu zao zitakuwa 2 kama malundo ya mawe 2 katika shamba lililolimwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 8:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 8:10Hosea 8Hosea 8:12 →