Hosea 8:5
Ee Samaria, tupilieni mbali sanamu yenu ya ndama! 2 Hasira yangu inawaka dhidi yao. 1 Watakuwa najisi mpaka lini? 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1
2 Kings 17:21Alipokwisha kuwatenga Israeli mbali na nyumba ya Daudi, wakamfanya Yeroboamu mwana wa Nebati kuwa mfalme wao. Yeroboamu akawashawishi Israeli waache kumfuata Bwana na akawasababisha kutenda dhambi kuu.
Proverbs 1:22“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? 2 Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, 2 na wapumbavu kuchukia maarifa? 1
Jeremiah 4:14Ee Yerusalemu, usafishe uovu kutoka moyoni mwako na uokolewe. 2 Utaendelea kuficha mawazo mapotovu mpaka lini? 1
Hosea 8:6Zimetoka katika Israeli! 1 Ndama huyu: ametengenezwa na fundi, si Mungu. 2 Atavunjwa vipande vipande, 2 yule ndama wa Samaria. 1
Hosea 10:8Mahali pa kuabudia sanamu pa uovu + 10:8 Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni , jina lingine la Betheli kwa dhihaka. pataharibiwa: 2 ndiyo dhambi ya Israeli. 1 Miiba na mibaruti itaota 2 na kufunika madhabahu zao. 1 Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!” 2 na vilima, “Tuangukieni!” 1