Hosea 8:6
Zimetoka katika Israeli! 1 Ndama huyu: ametengenezwa na fundi, si Mungu. 2 Atavunjwa vipande vipande, 2 yule ndama wa Samaria. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 23:19Kama alivyokuwa amefanya huko Betheli, Yosia akabomoa na kunajisi mahali pa kuabudia miungu kwenye mahali pa juu ambapo wafalme wa Israeli walikuwa wamejenga ndani ya miji ya Samaria, ambayo ilikuwa imemghadhibisha Bwana.
2 Chronicles 31:1Baada ya mambo haya yote kumalizika, Waisraeli ambao walikuwako huko wakaenda kwenye miji ya Yuda, wakayavunja yale mawe ya kuabudia na kuzikatakata zile nguzo za Ashera. Wakabomoa mahali pa juu pa kuabudia miungu pamoja na madhabahu zake kila mahali katika Yuda na Benyamini na katika Efraimu na Manase. Baada ya kuviharibu hivi vyote, Waisraeli wakarudi katika miji yao wenyewe na kwenye milki zao.
Psalms 106:19Huko Horebu walitengeneza ndama, 2 na kuabudu sanamu ya kusubu kwa chuma. 1
Psalms 135:15Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, 2 zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 1
Jeremiah 10:3Kwa maana desturi za mataifa hazina maana, 2 wanakata mti msituni, 2 na fundi anauchonga kwa patasi. 1
Jeremiah 10:14Kila mmoja ni mjinga na hana maarifa, 2 kila sonara ameaibishwa na sanamu zake. 1 Vinyago vyake ni vya udanganyifu, 2 havina pumzi ndani yavyo. 1