Hosea 8:7
“Wanapanda upepo 2 na kuvuna upepo wa kisulisuli. 1 Bua halina suke, 2 halitatoa unga. 1 Kama lingetoa nafaka, 2 wageni wangeila yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Israeli amemezwa; 2 sasa yupo miongoni mwa mataifa 2 kama kitu kisicho na thamani. 1
Cross References
Deuteronomy 28:33Taifa usilolijua watakula mazao ya nchi yako na taabu ya kazi yako, hutakuwa na chochote, bali kuonewa kikatili siku zako zote.
2 Kings 13:3Kwa hiyo hasira ya Bwana ikawaka dhidi ya Israeli na kwa muda mrefu akawaweka chini ya utawala wa Hazaeli mfalme wa Aramu, na Ben-Hadadi mwanawe.
2 Kings 15:29Wakati wa utawala wa Peka mfalme wa Israeli, Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru alikuja na kuteka Iyoni, Abel-Beth-Maaka, Yanoa, Kedeshi na Hazori. Akateka miji ya Gileadi na Galilaya, pamoja na nchi yote ya Naftali, na kuwahamishia watu wote Ashuru.
Proverbs 22:8Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, 2 nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa. 1
Isaiah 17:11hata kama siku ile unapoipandikiza, unaifanya iote 2 na asubuhi ile ile unayoipanda, unaifanya ichipue, 1 hata hivyo mavuno yatakuwa kama si kitu 2 katika siku ile ya ugonjwa na maumivu yasiyoponyeka. 1
Jeremiah 12:13Watapanda ngano lakini watavuna miiba; 2 watajitaabisha lakini hawatafaidi chochote. 1 Kwa hiyo beba aibu ya mavuno yako 2 kwa sababu ya hasira kali ya Bwana Mungu.”