The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 9 › Hosea 9:1

Hosea 9:1

Usifurahie, ee Israeli; 2 usishangilie kama mataifa mengine. 1 Kwa kuwa hukuwa 2 mwaminifu kwa Mungu wako; 1 umependa ujira wa kahaba kwenye kila sakafu 2 ya kupuria nafaka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Rejoice not, O Israel, for joy, as other people: for thou hast gone a whoring from thy God, thou hast loved a reward upon every cornfloor.

In Context

2Sakafu za kupuria nafaka na mashinikizo ya kukamulia divai 2 havitalisha watu, 2 divai mpya itawapungukia. 1

Read all of Hosea 9

Cross References

Isaiah 22:12Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1

Jeremiah 2:20“Zamani nilivunja nira yako 2 na kukatilia mbali vifungo vyako; 2 ukasema, ‘Sitakutumikia!’ 1 Naam kweli, kwenye kila kilima kirefu 2 na chini ya kila mti uliotanda matawi yake 2 ulijilaza kama kahaba. 1

Lamentations 4:21Shangilia na ufurahi, ee Binti Edomu, 2 wewe unayeishi nchi ya Usi. 1 Lakini kwako pia kikombe kitapitishwa, 2 Utalewa na kuvuliwa nguo ubaki uchi. 1

Ezekiel 16:30“ ‘Tazama jinsi ulivyo na dhamiri dhaifu, asema Bwana Mwenyezi, unapofanya mambo haya yote, ukifanya kama kahaba asiyekuwa na aibu!

Ezekiel 20:32“ ‘Lile lililoko mioyoni mwenu kamwe halitatokea, mnaposema, “Tunataka tuwe kama mataifa mengine, kama watu wengine wa dunia, wanaotumikia miti na mawe.”

Hosea 2:12Nitaiharibu mizabibu yake na mitini yake, 2 ambayo alisema yalikuwa malipo yake 2 kutoka kwa wapenzi wake; 1 nitaifanya kuwa kichaka, 2 nao wanyama pori wataila. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 9:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Hosea 9Hosea 9:2 →