Hosea 2:12
Nitaiharibu mizabibu yake na mitini yake, 2 ambayo alisema yalikuwa malipo yake 2 kutoka kwa wapenzi wake; 1 nitaifanya kuwa kichaka, 2 nao wanyama pori wataila. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 5:5Sasa nitawaambia lile nitakalolitendea 2 shamba langu la mizabibu: 1 Nitaondoa uzio wake, 2 nalo litaharibiwa, 1 nitabomoa ukuta wake, 2 nalo litakanyagwa. 1
Isaiah 29:17Kwa muda mfupi sana, je, Lebanoni haitageuzwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba liwe kama msitu? 1
Jeremiah 8:13“ ‘Nitayaondoa mavuno yao, 4 asema Bwana. 2 Hapatakuwepo zabibu kwenye mzabibu. 1 Hapatakuwepo na tini kwenye mtini, 2 majani yake yatanyauka. 1 Kile nilichowapa 2 watanyangʼanywa.’ ” 1
Jeremiah 26:18“Mika Mmoreshethi alitoa unabii katika siku za Hezekia mfalme wa Yuda. Akawaambia watu wote wa Yuda, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “ ‘Sayuni italimwa kama shamba, 2 Yerusalemu itakuwa lundo la kokoto, 1 na kilima cha Hekalu kitakuwa kichuguu 2 kilichofunikwa na vichaka.’
Hosea 5:14Kwa maana nitakuwa kama simba kwa Efraimu, 2 kama simba mkubwa kwa Yuda. 1 Nitawararua vipande vipande na kuondoka; 2 nitawachukua mbali, 2 na hakuna wa kuwaokoa. 1
Hosea 13:8Kama dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, 2 nitawashambulia na kurarua vifua vyenu. 1 Kama simba nitawala; 2 mnyama pori atawararua vipande vipande. 1