Yeremia 2:7
Niliwaleta katika nchi yenye wingi wa vitu 2 ili mpate kula matunda yake 2 na utajiri wa mazao yake. 1 Lakini mkaja na kuinajisi nchi yangu, 2 na kuufanya urithi wangu chukizo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 18:25Hata nchi ilitiwa unajisi, hivyo nikaiadhibu kwa dhambi zake, nayo nchi ikawatapika wakazi wake.
Numbers 14:7wakasema na kusanyiko lote la Kiisraeli, wakawaambia, “Nchi tuliyopita katikati yake na kuipeleleza ni nzuri sana sana.
Deuteronomy 6:10Wakati Bwana Mungu wako atakapokuleta katika nchi aliyowaapia baba zako, Abrahamu, Isaki na Yakobo, kukupa wewe, nchi kubwa, ina miji inayopendeza ambayo hukuijenga,
Deuteronomy 8:7Kwa kuwa Bwana Mungu wenu anawaleta katika nchi nzuri, nchi yenye vijito na mabwawa ya maji, yenye chemchemi zinazotiririka mabondeni na katika vilima;
Deuteronomy 11:10Nchi mnayoiingia kuimiliki haifanani na nchi ya Misri mlikotoka ambako mlipanda mbegu yenu na kuinywesha, kama bustani ya mboga.
Deuteronomy 32:9Kwa kuwa fungu la Bwana ni watu wake, 2 Yakobo kura yake ya urithi. 1