The Bible Software
bible.softwareWalawiWalawi 25 › Walawi 25:23

Walawi 25:23

“ ‘Kamwe ardhi isiuzwe kwa mkataba wa kudumu, kwa sababu nchi ni mali yangu, nanyi ni wageni na wapangaji wangu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The land shall not be sold for ever: for the land is mine; for ye are strangers and sojourners with me.

In Context

22Mnapopanda mwaka wa nane, mtakula mavuno ya miaka iliyopita. Pia mtaendelea kuyala mazao hayo hadi mvune mavuno ya mwaka wa tisa.

24Katika nchi yote mtakayoshika kuwa milki yenu, ni lazima mtoe ukombozi wa ardhi.

Read all of Walawi 25

Cross References

Genesis 47:9Naye Yakobo akamwambia Farao, “Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka 130. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya kusafiri ya baba zangu.”

Leviticus 25:10Mwaka wa hamsini mtauweka wakfu na kutangaza uhuru katika nchi kwa wakazi wake wote. Itakuwa ni yubile + 25:10 Yubile ni baragumu iliopigwa kila mwaka wa hamsini; ni Sabato ya nchi ya kila mwaka wa hamsini uliokuwa mwaka wa ukombozi, yaani kuachia huru. kwenu; kila mmoja wenu atairudia mali ya jamaa yake, na kila mmoja kurudi kwenye ukoo wake.

1 Kings 21:3Lakini Nabothi akamjibu, “ Bwana na apishe mbali kukupa wewe urithi wa baba zangu.”

2 Chronicles 7:20ndipo nitakapoingʼoa Israeli kutoka nchi yangu niliyowapa, nami nitalikataa Hekalu hili nililolitakasa kwa ajili ya Jina langu. Nitalifanya kitu cha kudharauliwa na kitu cha kudhihakiwa miongoni mwa watu wote.

Psalms 39:12“Ee Bwana, usikie maombi yangu, 2 usikie kilio changu unisaidie, 2 usiwe kiziwi kwa kulia kwangu. 1 Kwani mimi ninaishi na wewe kama mgeni, 2 kama walivyokuwa baba zangu wote, 1

Psalms 85:1Ee Bwana, ulionyesha wema kwa nchi yako. 2 Ulimrejeshea Yakobo baraka zake. + 85:1 Au: Uliwarudisha mateka wa Yakobo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Walawi 25:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Walawi 25:22Walawi 25Walawi 25:24 →