The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 5 › Isaiah 5:20

Isaiah 5:20

Ole wao wanaoita ubaya ni wema, 2 na wema ni ubaya, 1 wawekao giza badala ya nuru, 2 na nuru badala ya giza, 1 wawekao uchungu badala ya utamu, 2 na utamu badala ya uchungu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Woe unto them that call evil good, and good evil; that put darkness for light, and light for darkness; that put bitter for sweet, and sweet for bitter!

In Context

19kwa wale wanaosema, “Mungu na afanye haraka, 2 aharakishe kazi yake ili tupate kuiona. 1 Huo mpango wa Aliye Mtakatifu wa Israeli na ukamilike, 2 tena udhihirike ili tupate kuujua.” 1

21Ole wao walio na hekima machoni pao wenyewe, 2 na kujiona wenye akili machoni pao wenyewe. 1

Read all of Isaiah 5

Cross References

Exodus 23:7Ujiepushe na mashtaka ya uongo, wala usimuue mtu asiye na hatia au mtu mwaminifu, kwa maana sitamhesabia hana hatia yeye aliye na hatia.

Job 17:12Watu hawa hufanya usiku kuwa mchana, 2 kwenye giza wao husema, ‘Mwanga u karibu.’ 1

Proverbs 17:15Yeye asemaye kuwa asiye na haki ana haki, 2 naye asemaye kuwa mwenye haki hana haki: 2 Bwana huwachukia sana wote wawili. 1

Isaiah 32:5Mpumbavu hataitwa tena muungwana, 2 wala mtu mbaya kabisa kupewa heshima ya juu. 1

Amos 5:7Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu 2 na kuiangusha haki chini 1

Malachi 2:17Mmemchosha Bwana kwa maneno yenu. Nanyi mnauliza, “Tumemchosha kwa namna gani?” Mmemchosha kwa kusema, “Wote watendao mabaya ni wema machoni pa Bwana, naye anapendezwa nao” au “Mungu wa haki yuko wapi?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 5:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 5:19Isaiah 5Isaiah 5:21 →