Isaiah 2:11
Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 18:27Wewe huwaokoa wanyenyekevu, 2 lakini huwashusha wenye kiburi. 1
Psalms 46:11Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi; 2 Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Proverbs 16:5Bwana huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. 2 Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa. 1
Isaiah 4:1Katika siku ile wanawake saba 2 watamshika mwanaume mmoja 1 wakisema, “Tutakula chakula chetu wenyewe 2 na kuvaa nguo zetu wenyewe, 1 ila wewe uturuhusu tu tuitwe kwa jina lako. 2 Utuondolee aibu yetu!” 1 Tawi La Bwana
Isaiah 5:16Lakini Bwana Mwenye Nguvu Zote atatukuzwa 2 kwa ajili ya haki yake, 1 naye Mungu Mtakatifu atajionyesha mwenyewe 2 kuwa mtakatifu kwa haki yake. 1
Isaiah 11:10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.