bible.software › Isaya › Isaya 11 › Isaya 11:7
Isaya 11:7
Ngʼombe na dubu watalisha pamoja, 2 watoto wao watalala pamoja, 2 na simba atakula majani makavu kama maksai. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the cow and the bear shall feed; their young ones shall lie down together: and the lion shall eat straw like the ox.
In Context
6Mbwa mwitu ataishi pamoja na mwana-kondoo, 2 naye chui atalala pamoja na mbuzi, 1 ndama, mwana simba na ngʼombe wa mwaka mmoja watakaa pamoja, 2 naye mtoto mdogo atawaongoza. 1
8Mtoto mchanga atacheza karibu na shimo la nyoka, 1 naye mtoto mdogo ataweka mkono wake 2 kwenye kiota cha fira. 1
Read all of Isaya 11
This Verse In Other Editions
Study Isaya 11:7