Isaiah 11:6
Mbwa mwitu ataishi pamoja na mwana-kondoo, 2 naye chui atalala pamoja na mbuzi, 1 ndama, mwana simba na ngʼombe wa mwaka mmoja watakaa pamoja, 2 naye mtoto mdogo atawaongoza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Haki itakuwa mkanda wake 2 na uaminifu utakuwa mshipi kiunoni mwake. 1
Cross References
Isaiah 65:25Mbwa mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja, 2 naye simba atakula nyasi kama maksai, 2 lakini mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. 1 Hawatadhuru wala kuharibu 2 katika mlima wangu mtakatifu wote,” 4 asema Bwana.
Hosea 2:18Katika siku ile nitafanya Agano kwa ajili yao 2 na wanyama wa kondeni, na ndege wa angani, 2 na viumbe vile vitambaavyo ardhini. 1 Upinde, upanga na vita, 2 nitaondolea mbali katika nchi, 2 ili kwamba wote waweze kukaa salama. 1
Romans 14:17Kwa maana Ufalme wa Mungu si kula na kunywa, bali ni haki, amani na furaha katika Roho Mtakatifu.
2 Corinthians 5:14Kwa kuwa upendo wa Kristo unatutia nguvu, kwa sababu tunasadiki kuwa mmoja alikufa kwa ajili ya wote, kwa hiyo wote walikufa.
Ephesians 4:22Mlifundishwa kuuvua mwenendo wenu wa zamani, utu wenu wa kale, ulioharibiwa na tamaa zake za udanganyifu,
Titus 3:3Maana sisi wenyewe wakati fulani tulikuwa wajinga, wasiotii, tukiwa watumwa wa tamaa mbaya na anasa za kila aina. Tuliishi katika uovu na wivu, tukichukiwa na kuchukiana sisi kwa sisi.