The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 11 › Isaya 11:8

Isaya 11:8

Mtoto mchanga atacheza karibu na shimo la nyoka, 1 naye mtoto mdogo ataweka mkono wake 2 kwenye kiota cha fira. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the sucking child shall play on the hole of the asp, and the weaned child shall put his hand on the cockatrice’ den.

In Context

7Ngʼombe na dubu watalisha pamoja, 2 watoto wao watalala pamoja, 2 na simba atakula majani makavu kama maksai. 1

9Hawatadhuru wala kuharibu 2 juu ya mlima wangu mtakatifu wote, 1 kwa kuwa dunia itajawa na kumjua Bwana 2 kama maji yajazavyo bahari.

Read all of Isaya 11

Cross References

Job 5:23Kwa kuwa utakuwa na agano na mawe ya mashamba, 2 nao wanyama wa mwitu watakuwa na amani nawe. 1

Isaiah 59:5Huangua mayai ya nyoka wenye sumu kali 2 na kutanda wavu wa buibui. 1 Yeyote alaye mayai yao atakufa, 2 na wakati moja lianguliwapo, nyoka hutoka humo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 11:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 11:7Isaya 11Isaya 11:9 →