The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 59 › Isaiah 59:5

Isaiah 59:5

Huangua mayai ya nyoka wenye sumu kali 2 na kutanda wavu wa buibui. 1 Yeyote alaye mayai yao atakufa, 2 na wakati moja lianguliwapo, nyoka hutoka humo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They hatch cockatrice’ eggs, and weave the spider’s web: he that eateth of their eggs dieth, and that which is crushed breaketh out into a viper.

In Context

4Hakuna hata mmoja anayedai kwa haki; 2 hakuna hata mmoja anayetetea shauri lake kwa haki. 1 Wanategemea mabishano matupu na kusema uongo, 2 huchukua mimba ya magomvi na kuzaa uovu. 1

6Utando wao wa buibui haufai kwa nguo; 2 hawawezi kujifunika kwa kile walichokitengeneza. 1 Matendo yao ni matendo maovu, 2 vitendo vya jeuri vipo mikononi mwao. 1

Read all of Isaiah 59

Cross References

Proverbs 23:32Mwishowe huuma kama nyoka 2 na kutia sumu yake kama nyoka mwenye sumu. 1

Matthew 3:7Lakini alipowaona Mafarisayo na Masadukayo wengi wakija ili kubatizwa, aliwaambia: “Ninyi watoto wa nyoka! Ni nani aliyewaonya kuikimbia ghadhabu inayokuja?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 59:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 59:4Isaiah 59Isaiah 59:6 →