Isaiah 10:19
Nayo miti inayobaki katika misitu yake itakuwa michache sana 2 hata mtoto mdogo angeweza kuihesabu. 1 Mabaki Ya Israeli 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the rest of the trees of his forest shall be few, that a child may write them.
In Context
Cross References
Isaiah 13:12Nitawafanya wanadamu kuwa adimu kuliko dhahabu safi, 2 watakuwa wachache sana kuliko dhahabu ya Ofiri. 1
Isaiah 37:36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!