The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 13 › Isaiah 13:15

Isaiah 13:15

Yeyote atakayetekwa atapasuliwa tumbo, 2 wote watakaokamatwa watauawa kwa upanga. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Every one that is found shall be thrust through; and every one that is joined unto them shall fall by the sword.

In Context

14Kama swala awindwaye, 2 kama kondoo wasio na mchungaji, 1 kila mmoja atarudi kwa watu wake mwenyewe, 2 kila mmoja atakimbilia nchi yake ya kuzaliwa. 1

16Watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande 2 mbele ya macho yao; 1 nyumba zao zitatekwa 2 na wake zao watatendwa jeuri. 1

Read all of Isaiah 13

Cross References

Isaiah 47:9Haya mawili yatakupata, kufumba na kufumbua, 2 katika siku moja: 2 kufiwa na watoto, na ujane. 1 Yote yatakupata kwa kipimo kikamilifu, 2 ijapokuwa uchawi wako ni mwingi, 2 na uaguzi wako ni mwingi. 1

Jeremiah 50:27Waueni mafahali wake wachanga wote; 2 waacheni washuke machinjoni! 1 Ole wao! Kwa kuwa siku yao imewadia, 2 wakati wao wa kuadhibiwa. 1

Jeremiah 51:3Usimwache mpiga upinde afunge kamba upinde wake, 2 wala usimwache avae silaha zake. 1 Usiwaonee huruma vijana wake; 2 angamiza jeshi lake kabisa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 13:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 13:14Isaiah 13Isaiah 13:16 →